Na: Kasumali Rashidi
Msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf Kilungi afika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha. Msanii huyo amekutana na Alhaji. Dk. Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi sambamba na Mhe. Mariam Mwinyi.




0 Comments
Karibu!