KIGOMA WAPATA MWENYEKITI MPYA WA TUGHE

Na. Kasumal Rashid

   Nafasi ya uongozi wa mwenyekiti wa mkoa wa Kigoma wa TUGHE, imejazwa kwa wajumbe kumchagua kiongozi wao mpya , ndugu Masanja Machai. Kiongozi huyo pia ni katibu wa mkoa wa Kigoma wa idara ya hamasa na chipukizi ya jumuiya ya vijana wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM)

Post a Comment

0 Comments