HILI NALO NI JAMBO JEMA

Na: Kasumal Rashid

    Wanafunzi wa shule ya msingi Kashagulu kata ya Kalya, hufanya mazoezi ya mpila wa miguu, muda wa pumziko mara nyingi hufanya hivyo wanapoona kuwa kuna mechi mbele yao alisema hivyo mwanafunzi mmoja wa kike alipohojiwa na Kasumal.

    Vile vile wanafunzi hao wa shule ya msingi Kashagulu hucheza mpila huo muda  wa pumziko, kwa kile kinachoaminika kuwa uwanja wa shule hutumika na wananchi wa kijiji cha Kashagulu muda wa jioni.

Post a Comment

0 Comments