Na: Kasumal Rashid
Siku ya tarehe 22/07/2021, mh. mbunge wa jimbo la Kigoma kusini, ndugu NASHON WILLIAM BIDYANGUZE alipokea mwanachama mpya kutoka chama cha demokrasia na maendeleo ( CHADEMA ). katika viwanja vya mkutano wa hadhara huko majengo katika kijiji cha Tambusha
0 Comments
Karibu!